Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI JAFARY MICHAEL.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Ch...


Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya Ngangamfumuni.
Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo.
Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema,Jafary Michael akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Chadema na mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Moshi mjini,Philemoni Ndesamburo (katikati) akiwa na mgombea udiwani kata ya Ngangamfumuni,Anthony (kulia ) na mgombea udiwani kata ya Longuo Raymond Mboya. (kushoto).
Mgo,bea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiomba kura .
Baadhi ya wafuasi na wananchi waliofika katika mkutano huo.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimumbea kura mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Ngangamfumuni,Anthony.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimuombea kura mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Rau,Peter Kimaro wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni.Picha naDixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,kandaya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI JAFARY MICHAEL.
NDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI JAFARY MICHAEL.
http://2.bp.blogspot.com/-HbMqHYdQKoI/ViW7s3KM9lI/AAAAAAAAVkA/J6zYcYP2gIM/s640/IMG_1438%2B%25281280x853%2529.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-HbMqHYdQKoI/ViW7s3KM9lI/AAAAAAAAVkA/J6zYcYP2gIM/s72-c/IMG_1438%2B%25281280x853%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/ndesamburo-amuombea-kura-mgombea-ubunge.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/ndesamburo-amuombea-kura-mgombea-ubunge.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago