Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha ametangaza kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi zanzibar

Mwenyekiti wa ZEC,   Jecha Salum Jecha  --- Tume ya Uchaguzi Zanzibar leo imetangaza kufuta uchaguzi na matokeo yake kwa kile i...Mwenyekiti wa ZEC,  Jecha Salum Jecha 
---
Tume ya Uchaguzi Zanzibar leo imetangaza kufuta uchaguzi na matokeo yake kwa kile ilichosema ni kuwa uchaguzi huo umegubikwa na ukiukwaji na taratibu za sheria za uchaguzi. Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salum Jecha ametoa tangazo hilo leo kupitia televisheni ya taifa ya Zanzibar (ZBC). 


Akiongea baada ya kutolewa tangazo hilo, Katibu Mkuu wa CUF na ambaye alikuwa mgombea wa kiti cha urais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hatambui uamuzi huo kwani mwenyekiti wa tume hana mamlaka ya kuamua bila kuwashirikisha makamishina.


Maalif Seif amesema wanawasiliana na taasisi za kimataifa na msaada juu ya jambo hilo.

Pia baada ya kutolewa kwa uamuzi huo na ZEC, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamekutana na waandishi wa habari na kusema kuwa hawatakubali matokeo yanayoendelea kutolewa na NEC.


Hata hivyo, CCM kupitia Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za chama hicho, January Makamba amesema ni vema wanasiasa wakawana utaratibu wa kupokea na kukubali matokeo na kwamba anashangazwa na Ukawa kuanza kuonesha dalili za kuyakataa matokeo.


Akitolea ufafanuzi kuhusu uamuzi huo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema hilo halitaadhiri uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano.Kwa Habari zaidi Bofya Hapa na Hapa

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha ametangaza kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha ametangaza kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi zanzibar
http://4.bp.blogspot.com/-8dWB167ZJXE/VjDmxAtLaKI/AAAAAAADaYk/QMBRpNkN1Lo/s640/am41.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-8dWB167ZJXE/VjDmxAtLaKI/AAAAAAADaYk/QMBRpNkN1Lo/s72-c/am41.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mwenyekiti-wa-tume-ya-uchaguzi-zanzibar.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mwenyekiti-wa-tume-ya-uchaguzi-zanzibar.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago