Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu akutana na uongozi wa sekta ya Michezo Nchini

 Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kulia) akizungumza na Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA)...

 Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kulia) akizungumza na Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kushoto) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo ya mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam.
 Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kulia) akizungumza na maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo ya mchezo huo nchini. Kushoto ni rais wa Mpira wa Kikapu Tanzania Mhandisi John Bandiye
 Maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia kwa makini majadiliano yaliyokua yakiendelea kati ya uongozi wa Idara ya Michezo pamoja na Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) jana Jijini Dar es Salaam.
Maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia kwa makini majadiliano yaliyokua yakiendelea kati ya uongozi wa Idara ya Michezo pamoja na Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) jana Jijini Dar es Salaam.Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu akutana na uongozi wa sekta ya Michezo Nchini
Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu akutana na uongozi wa sekta ya Michezo Nchini
http://3.bp.blogspot.com/-OXISsRkCFWg/ViT7vEZQYjI/AAAAAAADZvk/-FQZ2iktrTM/s640/0115.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-OXISsRkCFWg/ViT7vEZQYjI/AAAAAAADZvk/-FQZ2iktrTM/s72-c/0115.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mshauri-wa-chama-cha-dunia-cha-mchezo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mshauri-wa-chama-cha-dunia-cha-mchezo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago