Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MHE. MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KANDA YA ZIWA, ASEMA TANZANIA YA KESHO ITAJENDWA NA YEYE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kufanya vyema katika mikutano ...

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kufanya vyema katika mikutano yake kanda ya ziwa kwa kupita sehemu mbali mbali ikiwepo Mabatini jijini Mwanza ambapo alisimamishwa na wananchi takribani mikutano 22 isiyo rasmi na wakati akielekea Magu, Kwimba na Misugwi. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
 
Wananchi wakiwa wametanda barabarani kutaka kumuona mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akielekea katika mikutano yake Magu, Kwimba na Misugwi.
Mwenyekiti wa Jumuiya yaWazazi Taifa, Abdalla Bulembo pia akiwa Kiongozi wa Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akiwasalimia wanaCCM katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Magu.
Wakazi wa Magu na ujumbe mbali mbali.
Mwenyekiti wa Jumuiya yaWazazi Taifa, Abdalla Bulembo pia akiwa Kiongozi wa Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akitoa somo kwa wapiga kura waliohudhuria katika mkutano uliofanyika Kwimba.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu na vitongoji vyake.
Haaaa! Ilikuwa ni shangwe kila mmoja kaitikia wito kuja kumsikiliza
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge.
Ujumbe.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu na vitongoji vyake.
Ujumbe wa wanaIgokelo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Misungwi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MHE. MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KANDA YA ZIWA, ASEMA TANZANIA YA KESHO ITAJENDWA NA YEYE
MHE. MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KANDA YA ZIWA, ASEMA TANZANIA YA KESHO ITAJENDWA NA YEYE
http://3.bp.blogspot.com/-0MKZU9bxJ5w/ViPOz29gVkI/AAAAAAABnW0/vpqEpUCLN4E/s640/IMG_3743.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-0MKZU9bxJ5w/ViPOz29gVkI/AAAAAAABnW0/vpqEpUCLN4E/s72-c/IMG_3743.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mhe-magufuli-aendelea-na-kampeni-zake.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mhe-magufuli-aendelea-na-kampeni-zake.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago