Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwa...


 Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakionekana kushangiliwa kwa furaha pindi Chopa yake ilipokuwa ikishuka katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake,  Oktoba 5, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Wananchi wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, pindi alipowasili katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, Oktoba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Monduli Mjini, Oktoba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CHADEMA, Julius Kalanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini Oktoba 5, 2015.
Mke wa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia Wananchi wa Mji wa Monduli, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini Oktoba 5, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia Wananchi wa Mji wa Monduli, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini Oktoba 5, 2015.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CHADEMA, Julius Kalanga, akizungumza machache juu namna atakavyoweza kuendeleza pale alipoaishia Mbunge wao wa awali.

Mh. Joshua Nassary wa Arumeru Mashariki akitema cheche zake.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, wakionyesha lundo la kadi za wanachama wa CCM wa Wilaya ya Monduli, waliozirudisha ili kuungana na Watanzania wote kwenye harakati ya Mabadiliko, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini Oktoba 5, 2015. Kulia ni Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Monduli, Rubein Ole Kuney akiejiunga na Chadema.

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh. Joshua Nassary, akizikusanya kadi za Wanachama wa CCM zilizorudishwa na kujiunga na Chadema, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini  Oktoba 5, 2015.COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE
http://2.bp.blogspot.com/-3Kn7VKkxHTk/VhLIxNTPFZI/AAAAAAAADjI/haf8RW5lWeE/s640/OTH_0406.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-3Kn7VKkxHTk/VhLIxNTPFZI/AAAAAAAADjI/haf8RW5lWeE/s72-c/OTH_0406.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-edward-lowassa-amaliza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-edward-lowassa-amaliza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago