Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOITIKISA SENGEREMA

 Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ... Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza  jana Oktoba 15, 2015.
 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chadema, Hamis Tabasamu, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza  jana Oktoba 15, 2015.
 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Sengerema, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza jana  Oktoba 15, 2015Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akitoa somo la namna ya kupiga kura kwa wananchi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Jimbo la Magu, Mkoani Simiyu  jana Oktoba 15, 2015.


 Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru akihutubia Wananchi wa Sengerema kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais EdwardLowassa  Picha: Othman Michuzi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOITIKISA SENGEREMA
MGOMBEA URAIS CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOITIKISA SENGEREMA
http://4.bp.blogspot.com/-_LIkSAr0wvo/ViD0r2Bb27I/AAAAAAADZnk/fgeEWX03Fro/s640/OTH_4045.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-_LIkSAr0wvo/ViD0r2Bb27I/AAAAAAADZnk/fgeEWX03Fro/s72-c/OTH_4045.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-chademaukawa-edward.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-chademaukawa-edward.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago