Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS CHADEMA +UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOPATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA...

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, Oktoba 10, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara  Oktoba 10, 2015. 
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tarime waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10, 2015. 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mh. Vicent Nyerere, akizungumza wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Vijijini kupitia CHADEMA, Mh. John Heche, akihutubia wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara  Oktoba 10, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini kupitia CHADEMA, Mh. Ester Matiko akihutubia wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10, 2015.
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Tarime, walioshiriki Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Mji wa Tarime Mkoani Mara.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mh. Vicent Nyerere, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Mh. Ester Matimo pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mh. John Heche, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, asikiliza jambo kutoka kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Mh. Ester Matimo, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara  Oktoba 10, 2015.COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS CHADEMA +UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOPATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME
MGOMBEA URAIS CHADEMA +UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOPATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME
http://2.bp.blogspot.com/-vNjc9Y0q-V4/Vhll047g17I/AAAAAAAAu0E/v4y7fbn1Q6M/s640/OTH_7102.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-vNjc9Y0q-V4/Vhll047g17I/AAAAAAAAu0E/v4y7fbn1Q6M/s72-c/OTH_7102.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-chadema-ukawa-edward_13.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-chadema-ukawa-edward_13.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago