Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mgombea Urais-CCM Dk.John Magufuli ashuhudia utiwaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu(Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiwa na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada w akisaini m...

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiwa na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada wakisaini mkataba kwaajili ya ujenzi wa barabara ya juu (Fly over)eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau wa ujenzi walipokutana kusaini mkataba wa ujenzi wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa mbele ya wadau wa ujenzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mara baada ya kukutana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam mkataba uliosainiwa kati ya Tanroads na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini Japan mkutano uliofanyika  jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli akiwashukuru wadau wa ujenzi leo jijini Dar es Salaam na kuhusiana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) maeneo ya Tazara ambao utajengwa na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini Japan. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mgombea Urais-CCM Dk.John Magufuli ashuhudia utiwaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu(Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Mgombea Urais-CCM Dk.John Magufuli ashuhudia utiwaji saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu(Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
http://3.bp.blogspot.com/-WclXvRsEUs8/Vh-mdnab2cI/AAAAAAADZeM/7Xd1Lasqssc/s640/IMG-20151015-WA0013.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-WclXvRsEUs8/Vh-mdnab2cI/AAAAAAADZeM/7Xd1Lasqssc/s72-c/IMG-20151015-WA0013.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-ccm-dkjohn-magufuli.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-ccm-dkjohn-magufuli.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago