Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA VIWANDANA BIASHARA MAREHEMU DR ABDALLAH KIGODA DAR

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwand...

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara, marehemu Dk Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya mwili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dcar es Salaam jioni hii, ukitokea India ambako alipatwa na mauti.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Mgombea ubunge Jimbo la Handeni kupitia CCM, marahemu Dk Abdallah Kigoda, ukihamishiwa kwenye gari lingine wakati wa mapokezi ya mwili huo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, ukitokea nchini India ambako alipatwa na mauti. Mwili huo ulikwenda kuhifadhiwa Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, kusubiri kuagwa leo katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam


 Dk Magufuli akimfariji mtoto wa marehemu Dk Kigoda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
 Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha Rose Migiro akimfariji dadake na marehemu Dk Kigoda, Dk Aisha Kigoda..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mkuu wa Mkowa wa Tanga, Mwantumu Mahiza akimfariji mjane wa marehemu Dk Kigoda, Rasul Kigoda
 Dk Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue wakati wa mapokezi ya mwili wa marehemu Dk Kigoda Uwanja wa Ndege.
 Dk Magufuli akisalimiana na wananchi waliofika kuupokea mwili wa marehemu Dk Kigoda
Dk Magufuli (kulia) akiangalia jeneza lenye mwili wa Dk Kigoda ukishushwa wakati wa mapokezi ya mwili huo kwenye Uwanja wa Ndege, Dar..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA VIWANDANA BIASHARA MAREHEMU DR ABDALLAH KIGODA DAR
MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA VIWANDANA BIASHARA MAREHEMU DR ABDALLAH KIGODA DAR
http://3.bp.blogspot.com/-yJdCXSn9OCE/Vh5vPI7Ge5I/AAAAAAAA7RY/Sa3_7lPJMBY/s640/001.JPG
http://3.bp.blogspot.com/-yJdCXSn9OCE/Vh5vPI7Ge5I/AAAAAAAA7RY/Sa3_7lPJMBY/s72-c/001.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-ccm-dk-john-magufuli.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mgombea-urais-ccm-dk-john-magufuli.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago