Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MBUNGE MACHACHARI LUDEWA -CCM DEO FILKUNJOMBE, RUBANI WILLIUM SLAA NA WENGINE WATATU WAFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA

  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa na Mgombea pekee wa jimbo hilo katika uchaguzi unaotaraji kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, Deo Ha...


 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa na Mgombea pekee wa jimbo hilo katika uchaguzi unaotaraji kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, Deo Haule Filikunjombe
 Hii ndio Chopa 5Y-DKK aliyokuwa akiitumia Deo Filikunjombe katika kampeni zake.
 ---
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa na Mgombea pekee wa jimbo hilo katika uchaguzi unaotaraji kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, Deo Haule Filikunjombe (43) amefariki dunia kwa ajali ya chopa..
Mbali na Fili kunjombe pia watu wengine wa tatu wamaefariki katika ajali ya chopa iliyotokea jana jioni katika hifadhi ya Selous Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. 

Rubani wa Chopa 5Y-DKK ambaye ni baba wa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ilala na Mgombea Ubunge wa jimbo la Ukongam Jerry Silaa, Capt. Willum Slaa nae amefariki.

Jerry Silaa amethibitisha kutokea kwa kifo cha baba yake ambapo pia Kamanda wa Operation wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuthibisha vifo hivyo vya watu wanne.

Filikunjombe pamoja na wenzake hao walikuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Ludewa. 
  
Deo Filikunjombe anakuwa ni mgombea wa 6 kufariki tangu akuanza kwa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2015 ambapo uchaguzi wake unataraji kufanyika Oktoba 25 mwaka .  

Wagombea hao ni Mohamed Mtoi wa CHADEMA jimbo la Lushoto,  Celine Kombani wa CCM jimbo la Ulanga Mashariki, Estomih Malla wa Chama cha ACT-Wazalendo Mgombea Ubunge jimbo la Arusha Mjini, Dk Abdallah Kigoda wa CCM Jimbo la Handeni Mjini na, Dk Emmanuel Makaidi wa NLD jimbo la Masasi aliyefariki jana Oktoba 15, 2015.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MBUNGE MACHACHARI LUDEWA -CCM DEO FILKUNJOMBE, RUBANI WILLIUM SLAA NA WENGINE WATATU WAFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA
MBUNGE MACHACHARI LUDEWA -CCM DEO FILKUNJOMBE, RUBANI WILLIUM SLAA NA WENGINE WATATU WAFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA
http://3.bp.blogspot.com/-a4oqW84UcdA/ViD49VCv8_I/AAAAAAADZoo/r2x9PYp7ko0/s640/12143202_851041168328252_6446346701413813641_n.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-a4oqW84UcdA/ViD49VCv8_I/AAAAAAADZoo/r2x9PYp7ko0/s72-c/12143202_851041168328252_6446346701413813641_n.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/mbunge-machachari-ludewa-ccm-deo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/mbunge-machachari-ludewa-ccm-deo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago