Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKABIDHIANO YA OFISI YA MAKATIBU WAKUU WAPYA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (kulia) akipokea Shada la maua kutoka kwa Mary Mkwaya Afisa kutoka W...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (kulia) akipokea Shada la maua kutoka kwa Mary Mkwaya Afisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini, mara baada yakuwasili wizarani. Wanaoshuhudia nyuma ni Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Paul Masanja na Mkurugenzi wa Utawalana RasilimaliWatu, Mrimia Mchomvu.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja (kulia) akipokea shada la maua kutoka kwa Cecilia Mrope Afisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto), akisaini Nyaraka za Makabidhiano sambamba na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Manyara.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kulia), akibadilishana Nyaraka za Makabidhiano na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto). Maswi ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo, akiongea jambo na Wajumbe wa Menejimnenti wa Wizara baada ya kuwasili wizarani hapo. Katibu Mkuu alitumia kikao hicho kuwaeleza wajumbe masuala muhimu ambayo atayasimamia kikamilifu katika sekta za Nishati na Madini.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi akimpongeza, aliyekuwa Kamishna wa Madini Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja aliteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKABIDHIANO YA OFISI YA MAKATIBU WAKUU WAPYA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
MAKABIDHIANO YA OFISI YA MAKATIBU WAKUU WAPYA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
http://2.bp.blogspot.com/-Kfd5r5DrM_A/VjNmgE81bkI/AAAAAAADabw/FCxGvuvTyJw/s640/PICHA%2B3.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-Kfd5r5DrM_A/VjNmgE81bkI/AAAAAAADabw/FCxGvuvTyJw/s72-c/PICHA%2B3.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/makabidhiano-ya-ofisi-ya-makatibu-wakuu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/makabidhiano-ya-ofisi-ya-makatibu-wakuu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago