Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI

Na Lucas Mboje, Dar es Salaam; Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 ana...

Na Lucas Mboje, Dar es Salaam;
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 anatarajia kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za Mahafali ya kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoa wa Pwani.

Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inasema jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule hiyo wanatarajia kuhitimu elimu yao ya Kidato cha Nne Novemba Mwaka huu.

Taarifa hiyo inasema Mgeni rasmi atafanya mambo yafuatayo ikiwemo kuweka jiwe la msingi jengo la maabara, uzinduzi wa mradi wa maji kwenda kwenye majengo ya Kidato cha tano na sita, kuangalia Maonesho ya Taaluma kwa Wanafunzi Washiriki, kutoa vyeti na zawadi mbalimbali kwa Wanafunzi wahitimu na kutoa hotuba.

Shule ya Sekondari Bwawani inamilikiwa na Jeshi la Magereza, ilianzishwa Mwaka 1978 kwa lengo la kutoa elimu ya Sekondari kwa Watumishi wa Magereza ambapo hivi sasa Shule hiyo inatoa elimu ya Sekondari kwa Vijana wa kike na kiume kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha sita.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI
http://2.bp.blogspot.com/-SJvE-lULpe8/Vh-P2xOSKjI/AAAAAAADZYc/2IbQgDM9I7A/s640/photo.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-SJvE-lULpe8/Vh-P2xOSKjI/AAAAAAADZYc/2IbQgDM9I7A/s72-c/photo.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/katibu-mkuu-wizara-ya-mambo-ya-ndani-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/katibu-mkuu-wizara-ya-mambo-ya-ndani-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago