Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

IKULU:Rais Jakaya Kikwete alipoongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt AbdallahKigoda mjini Handeni, Tanga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Al...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji dada wa marehemu Dkt. Asha Kigoda  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifarifi familia  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
 Sehemu ya waombolezaji kwenye msiba huo
 Spika Anne Makinda msibani hapo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa serikali na wa kidini   nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
 Bw. Saidi Yakub akiendeshe shughuli hiyo
 Sehemu ya waombolezaji
 Sehemu ya waombolezaji
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi Mussa akisoma wasifu wa marehemu

 Waombolezaji
 Sehemu ya waombolezaji
 Brigedia Jenerali Mstaafu  Ngwilizi akiongea machache kuhusu marehemu
 Rais Kikwete akipeana mikono na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema ZanzibarSalumu Mwalimu, ambaye aliwakilisha UKAWA kwenye mazishi hayo
 Ndg. Muhammad Seif Khatibu akisoma rambirambi za CCM 
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akitoa rambirambi za serikali

 Waombolezaji knamama msibani hapo
 Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally (mwenye kipaza sauti mkononi) akiongoza swala ya maiti
 Rais Kikwete akiwa anaongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akitoa pole kwa waombolezaji
 Watumishi wa Bunge wakibeba jeneza lililo na mwili wa marehemu kuelekea kaburini
 Mazishi
 Mtoto wa marehemu akiweka udongo kaburini
 Rais Kikwete akiweka udongo kaburini 
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akiwa na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. John Kijazi kwenye mazishi hayo.PICHA ZOTE NA IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: IKULU:Rais Jakaya Kikwete alipoongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt AbdallahKigoda mjini Handeni, Tanga
IKULU:Rais Jakaya Kikwete alipoongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt AbdallahKigoda mjini Handeni, Tanga
http://4.bp.blogspot.com/-wsmI3-wVGIM/ViA6zb0RCDI/AAAAAAAIAIw/E1Lj3WY3wJM/s640/k1.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-wsmI3-wVGIM/ViA6zb0RCDI/AAAAAAAIAIw/E1Lj3WY3wJM/s72-c/k1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/ikulurais-jakaya-kikwete-alipoongoza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/ikulurais-jakaya-kikwete-alipoongoza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago