Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA

 Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyar... Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa kijinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.
 Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha,mkoni Manyara.
 Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.
  Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.


 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa kitabu cha Ilani ya CCM
Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.
 Mgombea Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha.
 Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.  
  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Kondoa mapema leo mchana kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka Urais,aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA
HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA
http://4.bp.blogspot.com/-HrvuFAfTnEQ/VhFth0NoLUI/AAAAAAADAOA/WvhUjrCU6Zs/s640/_MG_2580.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-HrvuFAfTnEQ/VhFth0NoLUI/AAAAAAADAOA/WvhUjrCU6Zs/s72-c/_MG_2580.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/hivi-ndivyo-dkt-magufuli-alivyopokelewa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/hivi-ndivyo-dkt-magufuli-alivyopokelewa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago