Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo Afanya ziara ya Kikazi Mjini Hamburg

Mhe. Philip S. Marmo,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani (Kushoto) akiwa kwenye kikao na Mhe.Wolfgang Schmidt, Naibu Waziri anaye shugh...


Mhe. Philip S. Marmo,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani (Kushoto) akiwa kwenye kikao na Mhe.Wolfgang Schmidt, Naibu Waziri anaye shughulikia masuala ya Umoja wa Ulaya na Mambo ya Nje wa jimbo la Hamburg. Mkutano huo ulifanyika siku ya tarehe 29 Septemba,2015 kwenye ofisi Mhe.Schmdit mjini Hamburg.Mhe.Balozi Marmo alikuwa mjini Hamburg kwa ziara ya kikazi.
Mhe. Philip S. Marmo,Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani (wa kwanza kushoto) kwenye mazungumzo na Mhe.Vladimir Vladimirovich Golitsyn, Rais wa "International Tribunal for the Law of the Sea" aliyevaa tai ya zambarau (kulia) na Bi. Petra Hammelmann (katikati) Balozi wa Heshima wa Tanzania wa mji wa Hamburg. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye ofisi ya Mhe.Golitsyn siku ya tarehe 29 Septemba, 2015 mjini Hamburg.
Balozi Filip Marmo (wa pili kulia) akiwa katika Kaburi la Malika Salma Emily Ruete Binti binti wa Sultani Said Said wa Zanzibar ambaye alikuwa Mzanzibar wa KWanza kuja Hamburg mwaka 1866 na kuolewa na Mfanyabiashara wa Kijerumani. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo Afanya ziara ya Kikazi Mjini Hamburg
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo Afanya ziara ya Kikazi Mjini Hamburg
http://3.bp.blogspot.com/-4r4IUsv1uf0/VhIKF5n-H8I/AAAAAAAAirE/6GXJpV4g3kM/s640/20150929_144609.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-4r4IUsv1uf0/VhIKF5n-H8I/AAAAAAAAirE/6GXJpV4g3kM/s72-c/20150929_144609.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/balozi-wa-tanzania-nchini-ujerumani.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/balozi-wa-tanzania-nchini-ujerumani.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago