Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

ZANZIBAR YATOWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIONGOZI WA DINI.

 SheikheThabit Nooman Jongo Afisi ya Mufti Zanzibar akiwafahamisha jambo washiriki wa mafunzo ya Haki za Binaadamu katika Ukumbi wa Ma...

 SheikheThabit Nooman Jongo Afisi ya Mufti Zanzibar akiwafahamisha jambo washiriki wa mafunzo ya Haki za Binaadamu katika Ukumbi wa Mazsons Hotel Zanzibar.
 Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikhe Saleh Omar Kabii wakwanza kushoto akitoa maelezo juuya haki za binaadamu  kwa mujibu wa Uislam wakati alipokuwa akifunguwa Mafunzo ya Haki za Binaadamu na kuwatambulisha wasaidizi wa Sheria kwa Viongozi wa Dini, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Harusi Miraji na mwisho Jina Mwinyi Waziri Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma na Sheria.
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini maelezo kwa Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekhe Saleh Omar Kabii hayupo pichani katika Mafunzo ya Haki za Binaadamu na kuwatambulisha wasaidizi wa Sheria kwa Viongozi wa Dini Mazsons Hotel Zanzibar.Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar
--
Na Miza Othman –Maelezo Zanzibar       
Mashekhe na Walimu wa Madrasa wametakiwa kuwashajihisha wananchi kutojiingiza katika makundi yanayoweza kuvunja amani kutokana na kufuatiwa  kipindi kigumu cha uchaguzi Mkuu ujao.

Hayo yameelezwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar  Sheikhe Saleh Omar Kabii ambae ni Mgeni rasmini alipokuwa akifunguwa mafunzo ya Haki za Binaadamu yaliyofanyika katika ukumbi wa Mazsons Hotel ya Shangani Mjini Zanzibar.

Amesema Masheikhe na Walimu hao ndio wasimamizi wakuu katika maeneo mbalimbali ikiwemo Miskitini, Madrasani na hata ndani ya Nyumba zao kwani kufanya hivyo ni kutokiuka sheria iliyopangwa katika Nchi yao.

“ Tofauti za dini, jinsia, cheo na Kabila sio njia  za ukiukwaji wa Sheria ndani ya Nchi yetu bali ni kutii sheria kwani nijukumu la kila raia,alisema Shekh Saleh Omar Kabii”.

Nae Shekh Thabit Nooman Jongo kutoka Afisi ya Mufti Zanzibar amewataka Walimu na Mashekhe wenzake kuwamstari wa mbele katika kusimamia juu ya ukumbusho huo kwani kufanya hivyo ni kutekelaza majukumu yao.

Aidha amewataka Masheikhe na Walimu  hao kuchukuwa juhudi za hali ya juu na kutumia maneno ya hekima, busara na unyenyekevu ili waweze kufanikiwa malengo waliyokusudia.

Hata hivyo amesema kuwa wakati wanapotoa hutuba zao ndani ya Misikiti na Madrasa ziwe ni zenye kujenga amani kwani kufanya hivyo ni kuzitii sheria zilizowekwa katika nchi yao.

Washiriki wa mafunzo hayo wamesema watayafanyia kazi bila ya kinyongo na kuyafikisha katika maeneo yao kama walivyoagizwa na Viongozi wenzao.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: ZANZIBAR YATOWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIONGOZI WA DINI.
ZANZIBAR YATOWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIONGOZI WA DINI.
http://3.bp.blogspot.com/-7EHYoRvwEvA/VeWazo5tReI/AAAAAAADXk0/a1X3UYrMU1M/s1600/X3.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-7EHYoRvwEvA/VeWazo5tReI/AAAAAAADXk0/a1X3UYrMU1M/s72-c/X3.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/zanzibar-yatowa-mafunzo-ya-haki-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/zanzibar-yatowa-mafunzo-ya-haki-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago