Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akutana na kuzungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, kuhusu nafasi na majukumu yao katika uchaguzi mkuu ujao, pamoja na jinsi Serikali ilivyojipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani, huru na haki kwa vyama vyote.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.), akizungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakili...


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.), akizungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, kuhusu nafasi na majukumu yao katika uchaguzi mkuu ujao, pamoja na jinsi Serikali ilivyojipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani, huru na haki kwa vyama vyote.
Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini,wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb), wakati wa mkutano huo uliofanyika leo 10-09-2015 katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia), Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora, Bi Rosemary Jairo (kushoto) wakimsikiliza Mheshimiwa Waziri.
Mkurugenzi na Mkuu wa Itifaki, Balozi Mohammed Maharage Juma, akiwatambulisha Mabalozi waliowasili nchini hivi karibuni ambao ni mara yao ya kwanza kuhudhuria Kikao cha aina hii, Wizara ya Mambo ya Nje. 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia alikua muendeshaji wa mkutano huo Bi. Mindi Kasiga, akiratibu kipindi cha maswali na majibu kwenye kikao hicho. 
Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini Mhe.Thamsanga Dennis Mseleku akiuliza swali katika mkutano huo.
Balozi wa Namibia hapa nchini Mhe. Japhet Isaack, akiuliza swali katika mkutano huo.
Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akiuliza swali katika mkutano huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb), akijibu Maswali ya Waheshimiwa Mabalozi, kushoto kwa Mhe. Waziri ni Balozi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mkuu wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini Mhe. Juma Khalifan Mpango, Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (kulia kwa Mhe. Waziri) na Mwisho kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula.

Baadhi ya Mabalozi wakisikiliza majibu yanayotolewa na Mhe. Waziri Membe katika mkutano huo.

Mhasibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Paulo Kabale (kulia), Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Wizara hiyo Bw. Abisai Mathias (katikati), na Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa wizara hiyo, Bw. Lucas Suka wakibadilishana mawazo baada ya mkutano kuisha.
 Balozi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mkuu wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini Mhe. Juma Khalfan Mpango, akibadilishana mawazo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga, ambaye pia alikua muendeshaji wa mkutano huo.
 (pichani juu na chini) Baadhi ya  Mabalozi wakibadilishana mawazo na kusalimiana muda mfupi kabla ya mkutano huo kuanza. 
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy akibadilishana mawazo na baadhi ya Mabalozi.
Waheshimiwa Mabalozi wakibadilishana mawazo.
Mkutano ukiendelea
 Mkutano ukiendelea....
Mhe. Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo kumalizika.
Picha ya pamoja.PICHA NA REUBEN MCHOME.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akutana na kuzungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, kuhusu nafasi na majukumu yao katika uchaguzi mkuu ujao, pamoja na jinsi Serikali ilivyojipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani, huru na haki kwa vyama vyote.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akutana na kuzungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, kuhusu nafasi na majukumu yao katika uchaguzi mkuu ujao, pamoja na jinsi Serikali ilivyojipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani, huru na haki kwa vyama vyote.
http://2.bp.blogspot.com/-hrXGVzvXKoo/VfF2BMqCV0I/AAAAAAAAh7o/sEuzMzaEI74/s640/DSC_0473.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-hrXGVzvXKoo/VfF2BMqCV0I/AAAAAAAAh7o/sEuzMzaEI74/s72-c/DSC_0473.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/waziri-wa-mambo-ya-nje-na-ushirikiano.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/waziri-wa-mambo-ya-nje-na-ushirikiano.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago