Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

  Mkimbizi  kutoka  Burundi,  Philipo Nyandungulu,   akishuka  kutoka  kwenye  basi  baada  ya  kuwasili katika  kambi  ya  wakimbizi ...

  Mkimbizi  kutoka  Burundi,  Philipo Nyandungulu,   akishuka  kutoka  kwenye  basi  baada  ya  kuwasili katika  kambi  ya  wakimbizi  ya  Nyarugusu  iliyoko  Kasulu  mkoani  Kigoma.   Idadi  ya  wakimbizi  kutoka  Burundi  imekuwa  ikiongezeka  siku  hadi  siku  na  Wizara  ya  Mambo  ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.
  Mkimbizi kutoka Burundi, Vanisi Nyandugulu akipanga vifaa vyake baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma jana.  Wakimbizi kutoka Burundi wanaendela kuwasili nchini ambapo wanahifadhiwa katika kambi ya wakimizi ya Nyarugusu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
http://3.bp.blogspot.com/-O23T-vY91FY/Vfl4v-6EDFI/AAAAAAADYlY/oG602Ukb4DI/s640/PICHA%2B1%2B%25281%2529.JPG
http://3.bp.blogspot.com/-O23T-vY91FY/Vfl4v-6EDFI/AAAAAAADYlY/oG602Ukb4DI/s72-c/PICHA%2B1%2B%25281%2529.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/wakimbizi-kutoka-burundi-waendelea.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/wakimbizi-kutoka-burundi-waendelea.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago