Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

VYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA

   Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya akizungumza na waandishi habari leo kuhusu kongamano la saba ...

   Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya akizungumza na waandishi habari leo kuhusu kongamano la saba la elimu ya juu 2015 linalotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 1-2, 2015. Pembeni ni Thea Mtau (kulia) na Cosmas Mwasoibya ambao ni wajumbe wa Kamati ya Maandalizi.
Waandsihi wakimsikiliza   Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya katika mkutano na waandsihi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii/Picha na Cathbert Kajuna. WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu nchini ,Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Kamati ya Wakuu wa vuo Vikuu nchini (CVCPT) imeandaa kongamano la saba la elimu. Akizungumza na waandishi habari leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya amesema wazo la kuandaa makongamano ya elimu ya juu nchini ni kubadilishana uzoefu na maarifa miongoni mwa wadau elimu katika mstakabali wa taifa. Amesema katika makongamano watajadili changamoto zinazokabili sekta ya elimu ya juu kutokana na kupanuka kwa sekta hiyo kwa kuwa uazishwaji wa vyuo vikuu binafsi na ongezeko la udahili vyuoni na mabadiliko mengine. 

Profesa Mgaya amesema kongamano wanalotajia kulifanya ni la saba ambalo linatarajia kufanyika Oktoba 1 hadi 2 mwaka huu mkoani Arusha. Amesema katika katika kongamano hilo lina malengo ya kuangalia jukumu la Taasisi za Elimu juu nchini kusaidia maendeleo uwezo kwa kuzingatia elimu inayotolewa, Kubainisha fursa muhimu amabazo taasisi ya elimu zinaweza kutumia pamoja na mkakati wa itakayowezesha uushirikiano madhubuti baina ya sekta binafsi ya elimu ya juu,Viwanda na wadau wengine wa kuleta mabadilko katika sekta ya elimu nchini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: VYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA
VYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA
http://1.bp.blogspot.com/-plnrplLHuzo/VfFqFe3KCdI/AAAAAAABlso/FpZc6yTUgoQ/s640/IMG_1473.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-plnrplLHuzo/VfFqFe3KCdI/AAAAAAABlso/FpZc6yTUgoQ/s72-c/IMG_1473.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/vyuo-vikuu-nchini-kunoana-katika.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/vyuo-vikuu-nchini-kunoana-katika.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago