Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Viongozi wa taasisi za vijana wakutana kujadili mtaala wa kufundishia ‘Ujasiriamali usioathiri Mazingira’

Viongozi wa taasisi za vijana kutoka kwenye nchini sita wamekutana mjini Bagamoyo kujadili na kuandaa mtaala utakaotumika kuwafundis...


Viongozi wa taasisi za vijana kutoka kwenye nchini sita wamekutana mjini Bagamoyo kujadili na kuandaa mtaala utakaotumika kuwafundisha vijana namna ya kufanya ujasiliamali usioathiri mazingira “Green Entrepreneurship”.

Mkutano huo ambao ulitanguliwa na ziara ya mafunzo kwenye Shirika la Maendeleo ya Nishati  Mbadala (TaTEDO), umewashirikisha viongozi wa taasisi za vijana kutoka Slovenia, Italia, Nepal, Ureno, Argentina na wenyeji Tanzania walipata fursa ya kujifunza namna ya uzalishaji wa nishati mbadala isiyoathiri mazingira.
Shukuru Meena, Mratibu wa miradi ya nishati kwenye Shirika la Maendeleo ya Nishati  Mbadala (TaTEDO).
 Picha ya pamoja wakati viongozi hao walipotembelea TaTEDO.
Chris Ndallo (kushoto), Mtendaji Mkuu wa shirika la Maendeleo ya Vijana TYCEN akijadiliana jambo na baadhi ya watumishi wa TaTEDO.
Viongozi wa taasisi za vijana, wakitazama baadhi ya miradi inayoendeshwa na TaTEDO wakati walipotembelea ofisi za shirika hilo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Viongozi wa taasisi za vijana wakutana kujadili mtaala wa kufundishia ‘Ujasiriamali usioathiri Mazingira’
Viongozi wa taasisi za vijana wakutana kujadili mtaala wa kufundishia ‘Ujasiriamali usioathiri Mazingira’
http://2.bp.blogspot.com/-3nUZ3sEpiWI/VevtNrVMCRI/AAAAAAAAGus/Z6Ftka-q-_c/s320/1.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-3nUZ3sEpiWI/VevtNrVMCRI/AAAAAAAAGus/Z6Ftka-q-_c/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/viongozi-wa-taasisi-za-vijana-wakutana.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/viongozi-wa-taasisi-za-vijana-wakutana.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago