Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Timu ya Taifa yaondoka kuelekea Congo kwaajili ya Mashindano ya Afrika kwa Kutumia Ndege ya Taifa

 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wanariadha Bendera ya Taifa ta...

 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wanariadha Bendera ya Taifa tayari kwa  safari yakuelekea nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), Timu hiyo iliondoka jana jioni na ndege ya Shirika  la Ndege la Tanzania.
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwaajili ya Mashindano ya Afrika (All African Games).Pichana Benjamin Sawe- WHVUM

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Timu ya Taifa yaondoka kuelekea Congo kwaajili ya Mashindano ya Afrika kwa Kutumia Ndege ya Taifa
Timu ya Taifa yaondoka kuelekea Congo kwaajili ya Mashindano ya Afrika kwa Kutumia Ndege ya Taifa
http://4.bp.blogspot.com/-pyVsae3QLUA/Vem2exqA1XI/AAAAAAADX4A/5XqdbLi4KtM/s640/CONGO%2B4.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-pyVsae3QLUA/Vem2exqA1XI/AAAAAAADX4A/5XqdbLi4KtM/s72-c/CONGO%2B4.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/timu-ya-taifa-yaondoka-kuelekea-congo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/timu-ya-taifa-yaondoka-kuelekea-congo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago