Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TANGAZO KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKA...JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;- 
 
1)TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2) TAREHE 23 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA TEMEKE NA ILALA;

3) MALALAMIKO HAYO YAWASILISHWE NA MUHUSIKA MWENYEWE NA SIYO MWAKILISHI;

4)MALALAMIKA AMBAYO YAMEKWISHA WASILISHWA MAHAKAMNI HAYATAPOKELEWA.


KATIBU MKUU
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TANGAZO KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM
TANGAZO KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM
http://4.bp.blogspot.com/-A7INDqsdDP0/VgFhOME5VKI/AAAAAAADY1k/7PeHRdJ6g00/s320/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
http://4.bp.blogspot.com/-A7INDqsdDP0/VgFhOME5VKI/AAAAAAADY1k/7PeHRdJ6g00/s72-c/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/tangazo-kwa-umma-kutoka-wizara-ya-ardhi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/tangazo-kwa-umma-kutoka-wizara-ya-ardhi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago