Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu kuanguka Msikiti Makhah-Saudi Arabia, Watanzania Salama.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Kufuatia mvua  ilioambatana na upepo mkali na k...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Kufuatia mvua  ilioambatana na upepo mkali na kusababisha kuanguka kwa mashine ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf ulipo msikiti wa Makkah, msikiti huo umeanguka na kusababisha vifo vya mahujaji.  

Kwa mujibu wa Televisheni ya Saudi Arabia, Saudi TV hadi sasa watu 107 wamefariki dunia na wengine takriban 200 wamejeruhiwa. 

Kufuatia ajali hiyo, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kupitia Ofisi za Ubalozi Riyadh unathibitihsa kuwa Mahujaji wa Tanzania wameanza kuwasili Jeddah kuelekea Makkah leo tarehe 12 Septemba 2015 wakitokea Madina. Hadi sasa Wizara haijapokea taarifa ya Watanzania waliopoteza maisha wala kujeruhiwa kwenye ajali hiyo.

MWISHO.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
12 Septemba, 2015
<!--[if gte mso 10]>

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu kuanguka Msikiti Makhah-Saudi Arabia, Watanzania Salama.
Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu kuanguka Msikiti Makhah-Saudi Arabia, Watanzania Salama.
http://3.bp.blogspot.com/-JiVVialla4M/VfVpcLaDdcI/AAAAAAADYW0/z8HIaDOQIzk/s200/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
http://3.bp.blogspot.com/-JiVVialla4M/VfVpcLaDdcI/AAAAAAADYW0/z8HIaDOQIzk/s72-c/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-wizara-ya-mambo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-wizara-ya-mambo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago