Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Taarifa Kwa Umma Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi:Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva --- Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za madiwani kupin...


 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva
---

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea jumla ya rufaa 54 za madiwani kupinga Maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali nchini. Pia jumla ya rufaa 198 za madiwani kutoka Halmashauri mbalimbali.

Tume imeanzakupitia vielelezo vilivyowasilishwa na Wagombea (warufani) na Wasimamizi wa Uchaguzi kutoka majimboni. Imeanza kuzitolewa maamuzi rufaa za Wabunge.  Leo tarehe 31/82015 zimejadiliwa na kuamuliwa rufaa 38. Zilizobaki mawasiliano yanaendelea kati ya Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi ili kupata vielelezo vinavyohusika kuisaidia Tume kufikia maamuzi ya kisheria na haki kwa wagombea na vyama vyote vinavyoshiriki katika uchaguzi.  

Wagombea waliokuwa wamewekewa pingamizi na kuenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi ni 16 na Tume imerudisha wagombea 13 kati ya hao, waliobaki ni 3 ambao Tume imeridhia maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi. Hii ni kutokana na vielelezo vilivyowasilishwa kutoonesha makosa ya kisheria au kiufundi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Taarifa Kwa Umma Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi:Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge
Taarifa Kwa Umma Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi:Maamuzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Rufaa za Wabunge
http://2.bp.blogspot.com/-psmlrwLU1_E/Veba-z74llI/AAAAAAADXnU/kuMvfAH3e5c/s1600/JAJILUBUVA.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-psmlrwLU1_E/Veba-z74llI/AAAAAAADXnU/kuMvfAH3e5c/s72-c/JAJILUBUVA.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-tume-ya-taifa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-tume-ya-taifa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago