Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA IMEPATA MSIBA WA KUONDOKEWA NA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA MHE. CELINA O. KOMBANI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya  Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani  --- Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utum...


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani 
---
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepata msiba wa kuondokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (Mb) aliyefariki tarehe 24 Septemba, 2015 katika Hospitali ya Apollo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki na Serikali kwa ujumla kwa kuondokewa na kiongozi mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na aliyekuwa na mapenzi mema na nchi yake.


Wakati wa uhai wake, Mhe. Kombani alijitoa kulitumikia taifa bila ubaguzi wala upendeleo wowote, hivyo Ofisi itamuenzi kwa kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo mbalimbali katika Utumishi wa Umma kama alivyokuwa akisisitiza. Mhe. Kombani aliteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma mwaka 2012 akitokea Wizara ya Katiba na Sheria. Mhe. Kombani amekitumikia cheo hicho mpaka mauti yalipomfika.


Pumzika kwa Amani mpendwa wetu, Ofisi itaendelea kukukumbuka daima kwa busara zako na uongozi wako uliotukuka.Imetolewa Na:
Kaimu Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA IMEPATA MSIBA WA KUONDOKEWA NA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA MHE. CELINA O. KOMBANI
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA IMEPATA MSIBA WA KUONDOKEWA NA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA MHE. CELINA O. KOMBANI
http://2.bp.blogspot.com/-uUjUzSc_G54/VgfQ9w281VI/AAAAAAADY60/-hhcDJsk8Qc/s640/Celina-Kombani1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-uUjUzSc_G54/VgfQ9w281VI/AAAAAAADY60/-hhcDJsk8Qc/s72-c/Celina-Kombani1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-ofisi-ya-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-ofisi-ya-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago