Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS WA ZANZIBAR DR ALI SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akisalimiana na viongozi mbalimbali alipohudhuria katika Ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 5...

Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akisalimiana na viongozi mbalimbali alipohudhuria katika Ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk ALI Mohd Shein akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akiangalia sehemu za mbali kwa kutumia kamera maalum zilizowekwa juu ya Mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk ALI Mohd Shein akielezea jambo alipooneshwa kamera ya kuona sehemu za mbali wakati mtu akiwa juu ya mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk ALI Mohd Shein katikati akipatiwa maelezo na Mshauri wa Ujenzi wa mnara Habibu Nnur wakwanza kulia alipotembelea sehemu mbalimbali za mnara baada ya kuufungua Michenzani mjini Zanzibar.
 
Rais wa Zanzibar Dk ALI Mohd Shein akiwa pamoja na Mke wake mama Mwanamwema Shein wakitembelea sehemu ya Mkahawa unaozunguuka juu ya Mnara wa Kumbukumbu ya  Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
   Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein akiwa pamoja na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman katika sehemu ya juu ya Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.PICHANA YUSSUF SIMAI ALI-MAELEZO ZANZIBAR.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS WA ZANZIBAR DR ALI SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR.
RAIS WA ZANZIBAR DR ALI SHEIN AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR.
http://2.bp.blogspot.com/-DGB-iWrn-ss/Veb364NpIMI/AAAAAAADXs8/sRsyKZ1Q3H4/s640/112.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-DGB-iWrn-ss/Veb364NpIMI/AAAAAAADXs8/sRsyKZ1Q3H4/s72-c/112.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/rais-wa-zanzibar-dr-ali-shein-azindua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/rais-wa-zanzibar-dr-ali-shein-azindua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago