Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA

 RAIS Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika ja...

 RAIS Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.
 RAIS Jakaya Kikwete, akizndua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.

 WAJASIRIAMALI na wadau wa utamaduni walikuwepo katika kunogesha uzinduzi huo, ambapo vitu mbalimbali vya utamaduni ziliuzwa.
 WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa, wakifuatia kwa makini uzinduzi wa mkakati huo
  NGOMA ya watanashati au Wazee wa Mnanda walikuwepo kutoa burudani kwa wageni.
 RAIS Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru, wakishangilia baada ya uzinduzi wa tangazo hilo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA
RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA
http://4.bp.blogspot.com/-0e-5euk5OHA/VewZa4bhrEI/AAAAAAAAyrE/-MtEJ7NT_uM/s640/AA8A7699.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-0e-5euk5OHA/VewZa4bhrEI/AAAAAAAAyrE/-MtEJ7NT_uM/s72-c/AA8A7699.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/rais-jakaya-kikwete-azindua-kampeni.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/rais-jakaya-kikwete-azindua-kampeni.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago