Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete azindua miradi ya Maendeleo kigoma awaaga wananchi

 Muonekano wa Jengo la Kitega uchumi Lumumba Business Complex, lililofunguliwa na Rais Kikwete mjini Kigoma Septemba 14, 2015.  Muon...

 Muonekano wa Jengo la Kitega uchumi Lumumba Business Complex, lililofunguliwa na Rais Kikwete mjini Kigoma Septemba 14, 2015.
 Muonekano wa jengo hilo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe katika jiwe kuashiria kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa National Housing Lumumba Business Complex mjini Kigoma Septemba 14, 2015.Wapili kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa hafla ya uzinduzi mradi wa nyumba za bei nafuu NHC eneo la Mlole mjini Kigoma Septemba 14, 2015.Rais Kikwete yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Kulia ni Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleio ya Makazi Mh.William Lukuvi,Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya na watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bwana Nehemia Mchechu,
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe wakati wa uzinduzi wa nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC eneo la Mlole mjini Kigoma Septemba 14, 2015.
Wengine katika picha ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi(wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya(wapili kulia), Mbunge mstaafu wa Kigoma mjini Mh.Peter Selukamba(wanne kjshoto), Mkurugenzi mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu kulia na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Ndugu Walid Kabouru.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua jengo la kitega uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa(National Housing Corporation) NHC Lumumba Complex mjini Kigoma Septemba 14, 2015.Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,(watatu kushoto), Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi,(wanne kushoto), Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya,(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bwana Nehemia Mchechu(kulia), na kushoto ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kigoma mjini Mh.Peter Selukamba.
 Picha ya pamoja.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa mji wa kigoma wakati akingia katika uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika ambapo alihutubia Mkutano wahadhara na kuwaaga rasmi wananchi wa mkoa wa Kigoma.Picha na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete azindua miradi ya Maendeleo kigoma awaaga wananchi
Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete azindua miradi ya Maendeleo kigoma awaaga wananchi
http://2.bp.blogspot.com/-tjBiVsBeRL8/VfgD5snOMII/AAAAAAADYfw/wr9H9Ik2Sxs/s640/373.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-tjBiVsBeRL8/VfgD5snOMII/AAAAAAADYfw/wr9H9Ik2Sxs/s72-c/373.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_15.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_15.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago