Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA NA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU ARUSHA SEPTEMBA 13, 2015

  Muonekano wa baadhi ya majengo ya Chuo cha Unadhimu na ukamanda.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa ushauri wakati akikagua m...

 Muonekano wa baadhi ya majengo ya Chuo cha Unadhimu na ukamanda.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa ushauri wakati akikagua majengo ya Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo eneo la Duluti nje kidogo ya mji wa Arusha leo. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda,kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, Wapili kushoto ni Mkuu wa chuo hicho Meja Jenerali Ezekiel Kyunga na kulia ni mwakilishi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu Balozi Ibrahim Al Suweidy.umoja wa Falme za Kiarabu ulishirikiana na Serikali kufadhili ujenzi wa Chuo hicho.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vitabu katika maktaba ya Chuo cha Unadhimu na Ukamanda alichokizindua Septemba 13, 2015.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mitaala inayofundishwa katika chuo cha Ukamanda na Unadhimu katika moja ya kompyuta chuoni hapo muda mfupi baada ya kuzindua chuo hicho eneo la Duluthi nje kidogo ya mji wa Arsuha leo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Ezekiel Kyunga.
 Mkuu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Meja Jenerali Ezekiel Kyunga kulia akimuonyesha Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeneo mbalimbali ya Chuo hicho muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua Chuo hicho eneo la Duluti nje kidogo ya mji wa Arusha leo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Chuo cha Ukamanda na unadhimu Dukuti nje kidogo ya mji wa Arusha Septemba 13, 2015.Picha na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA NA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU ARUSHA SEPTEMBA 13, 2015
PICHA NA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU ARUSHA SEPTEMBA 13, 2015
http://3.bp.blogspot.com/-GoIJVVec4cg/VfboZMCUQ4I/AAAAAAADYeI/pV5A_KnaQXo/s640/642.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-GoIJVVec4cg/VfboZMCUQ4I/AAAAAAADYeI/pV5A_KnaQXo/s72-c/642.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_14.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_14.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago