Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA MBALIMBALI ZA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA -CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN MTWARA LEO

Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake ...


Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani, katika eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia mkikutano ya kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara jana, Septemba 16, 2015.
 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na walipozuia msafara wake njiani, katika eneo la Makonga wilayani Newala, wakati akieda kuhutubia mkikutano ya kampeni katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara jana, Septemba 16, 2015.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo, jana, Septemba 16, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgobea Ubunge jimbo la Liwale mjini, George Mkuchika, katika mkutanowa kampeni uliofanyika jana, Septemba 16, 2015, katika jimbo hilo mkoani Mtwara.
 Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, akipokea kadi za vyama vya upinzani baada ya vijana kutoka vyama hivyo kuamua kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Mtwara Vijini.
 Mgombea Ubunge jimbo la Newala Vijijini, Rashid Akbar akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo, jana Septemba 16, 2015
 Wagombea Udiwani katika jimbo la Newala Vijijini wakionyesha mikono walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. Kushoto ni Mjumbe wa kampeni za mgombea mwenza wa Urais Mama Samia, Angela Kizigha.
Kina Mama wakimpatia zwadi Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara 
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassani akihtubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala mjini mkoani Mtwara.
Wananchi wakiahidi kuipigia kura CCM, Wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Newala mjini mkoani Mtwara
 Mbunge anayesubiri kuapishwa baada ya kupita bila kupingwa katika jimbo la Nanyamba, mkoani  Mtwara, Abdallah Chikota, akimuombea Kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA MBALIMBALI ZA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA -CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN MTWARA LEO
PICHA MBALIMBALI ZA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA -CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN MTWARA LEO
http://3.bp.blogspot.com/-xjpcrGSGstc/VfravuEP76I/AAAAAAADYt0/W1J9x6nObew/s640/1.%2BMakonga%2BNewala.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-xjpcrGSGstc/VfravuEP76I/AAAAAAADYt0/W1J9x6nObew/s72-c/1.%2BMakonga%2BNewala.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-mbalimbali-za-kampeni-za-mgombea.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-mbalimbali-za-kampeni-za-mgombea.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago