Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiik...

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam Septemba 3, 2015.ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Septemba 3, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM
Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM
http://4.bp.blogspot.com/-mTFE28K3xm4/Vem56qBJJRI/AAAAAAADX4c/3-Ma4ptDal4/s640/013.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-mTFE28K3xm4/Vem56qBJJRI/AAAAAAADX4c/3-Ma4ptDal4/s72-c/013.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete_4.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete_4.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago