Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam l...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwa  ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kukagua terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether
 Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway akihutubua katika sherehe hizo.
 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu  akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati anafungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia sanamu ya meli aliyozawadiwa baada ya kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kushoto ni  Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka na katikati ni Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
PICHA KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
http://1.bp.blogspot.com/-UaVAfZYiIBw/VflemOBe2uI/AAAAAAAH5VM/cMD9pmquy4I/s640/y1.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-UaVAfZYiIBw/VflemOBe2uI/AAAAAAAH5VM/cMD9pmquy4I/s72-c/y1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete_16.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete_16.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago