Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi ya Marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo na watoto wa marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau wakiom...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo na watoto wa marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau wakiomba dua wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa Zamani wa Mafia yaliyofanyika huko Mafia jana jioni
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau huko Mafia jana jioni.
 Baadhi ya wanajeshi wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Kanali Mstaafu Ayub Kimbau aliyewahi kuwa mbunge wa Mafia wakati wa Mazishi yake huko Kilwa jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma(aliyeketi na mke wa Marehemu kushoto) wakimfariji mke wa Marehemu Kanali Mstaafu Nyumbani Kwake Mafia wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa zamani wa Mafia jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi ya Marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau
Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi ya Marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau
http://2.bp.blogspot.com/-Nwey5-dvr2U/VeWcom9TxqI/AAAAAAADXlQ/LqwvvxTpPPA/s640/D92A4369.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-Nwey5-dvr2U/VeWcom9TxqI/AAAAAAADXlQ/LqwvvxTpPPA/s72-c/D92A4369.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago