Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA KUTOKA IKULU:CCM YAZINDUA RASMI KAMPENI YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala  Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilanui ya Uchaguzi ya CCM leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa sana katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein  akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais  katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wananchiu wenye furaha baada ya uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa akiagana na viongozi wa CCM Zanzibar baada ya kuhudhuria na pia kuhutubia katika uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.Picha na IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA KUTOKA IKULU:CCM YAZINDUA RASMI KAMPENI YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
PICHA KUTOKA IKULU:CCM YAZINDUA RASMI KAMPENI YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
http://4.bp.blogspot.com/-yBCddff_hqY/VfXW1KFC83I/AAAAAAADYa8/AjGpt8qqHNA/s640/znz8.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-yBCddff_hqY/VfXW1KFC83I/AAAAAAADYa8/AjGpt8qqHNA/s72-c/znz8.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikuluccm-yazindua-rasmi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/picha-kutoka-ikuluccm-yazindua-rasmi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago