Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO-NCCR-MAGEUZI+UKAWA JAMES MBATIA WAISIMAISHA VUNJO .

Msafara wa Pikipiki ukimsindikiza mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi na UKAWA ,James Mbatia wakati wa ...


Msafara wa Pikipiki ukimsindikiza mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi na UKAWA ,James Mbatia wakati wa kwenda kufanya uzinduzi wa Kampeni katika jimbo jilo.
Msululu wa magari ukimsindikiza mgombea huyo.
Maeneo mbalimbali aliyopita mgombea huyo alipokelewa na makundi mbalimbali ya watu waliokuwa wamesimama kando ya barabara wengi wao wakiwa ni kina mama.


Katika maeneo mengine wananchi walisimamisha msafara wake na kusalimia kwa muda kabla ya kuendelea na safari.
Shughuli zilisimama kwa muda katika maeneo mbalimbali angalau kutoa nafasi japo kupunga mkono kwa mgombea huyo.
Msafara ukielekea uwanja wa Michezo wa Chuo cha Ualimu cha Marangu kwa ajili ya uzinduzi wa mkutano wa Kampeni.
Makondakta na madereva wa daladala katika eneo la Marangu mtoni wakisalimiana na mgombea ubunge katika jimbo la Vunjo ,James Mbatia.
Hii ndivyo ilivyokuwakatika eneo la Marangu Mtoni.
Raia wa kigeni wakichukua taswira za mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Jmaes Mbatia.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo James mbatia kaiwa ameongozana na mkewe ,Catherine Mbatia na motto wao Chelsea wakiingia katika uwanja wa michezo wa chuo cha Ualimu Mrangu kwa ajili ya mkutano wa ufunguzi rasmi wa kampeni.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini (0755 659929)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO-NCCR-MAGEUZI+UKAWA JAMES MBATIA WAISIMAISHA VUNJO .
MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO-NCCR-MAGEUZI+UKAWA JAMES MBATIA WAISIMAISHA VUNJO .
http://1.bp.blogspot.com/-ArjFyG2igTE/Ve3jKDHCYGI/AAAAAAAAUs0/8ABN2tppcbk/s640/E86A9837%2B%25281280x853%2529.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-ArjFyG2igTE/Ve3jKDHCYGI/AAAAAAAAUs0/8ABN2tppcbk/s72-c/E86A9837%2B%25281280x853%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/msafara-wa-james-mbatia-waisimaisha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/msafara-wa-james-mbatia-waisimaisha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago