Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi wa UAE Nchini

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. A...


Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi  na Balozi mpya katika Idara hiyo ya Mashariki ya Kati. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu.  
Afisa Mambo ya Nje, Bw. Hangi Mgaka akisikiliza mazungumzo kati ya Balozi Kilima na Balozi Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (hawapo pichani).
Balozi Kilima (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Alsuwaidi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi wa UAE Nchini
Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi wa UAE Nchini
http://1.bp.blogspot.com/-KpXn7_RSLds/VgIztc7OpqI/AAAAAAAAidw/2uHnjj3ZeLA/s640/DSC_9675.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-KpXn7_RSLds/VgIztc7OpqI/AAAAAAAAidw/2uHnjj3ZeLA/s72-c/DSC_9675.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mkurugenzi-wa-mashariki-ya-kati.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mkurugenzi-wa-mashariki-ya-kati.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago