Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AMNADI MGOMBEA UBUNGE NDUGU HASSAN KAUNJE NA MADIWANI LINDI MJINI.

  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye eneo...

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kampeni kwenye Kata ya Msinjahili katika Manispaa ya Lindi kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika October, 2015. Kushoto kwa Mama Salma ni mgombea wa ubunge katika jimbo hilo Ndugu Hassan Kaunje.
 Mke wa Rais na MNEC Taifa anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi wa Lindi Mjini (hawapo pichani) wakati akimnadi Ndugu Hassan Kaunje anayegombea ubunge katika jimbo hilo pamoja na madiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi tarehe 4.9.2015.
 Umati wa wananchi waliojitokeza kwenye kampeni za kumnadi Mgombea ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini wakishuhudia hotuba mbalimbali  zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Kata ya Msinjahili tarehe 4.9.2015.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akiwa ameshika bango la mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndugu John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akimnadi kwa wananchi wa Lindi Mjini.  Aliyeshika bango hilo  kushoto ni Mgombea ubunge katika Jimbo la Lindi Mjini Ndugu Hassan Kaunje na katikati ni mgombea udiwani wa kata ya Msinjahili Mama Asina Kawamba.Picha na John Lukuwi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AMNADI MGOMBEA UBUNGE NDUGU HASSAN KAUNJE NA MADIWANI LINDI MJINI.
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AMNADI MGOMBEA UBUNGE NDUGU HASSAN KAUNJE NA MADIWANI LINDI MJINI.
http://2.bp.blogspot.com/-N4caeDKWIxo/Veq1PjIkXqI/AAAAAAADX80/bdK402jWgD8/s640/127-1024x638.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-N4caeDKWIxo/Veq1PjIkXqI/AAAAAAADX80/bdK402jWgD8/s72-c/127-1024x638.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mke-wa-rais-mama-salma-kikwete-amnadi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mke-wa-rais-mama-salma-kikwete-amnadi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago