Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mgombea wa Ukawa Maulid Mtulila azindua kampeni ya ubunge jimboni Kinondoni!

Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge ...


Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Kinondoni leo jioni.
Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA leo hii vimezindua kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum Mtulia.

Bw Mtulia akimwaga sera leo hii jioni Mwananyamala katika viwanja vya Mapilau.
Meza kuu!

Baadhi ya viongozi wa vuama vinavyounda UKAWA wakiomba duaa kabla ya mkutano kuanza rasmi.
Wakati wa duaa!Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa Abdallah Safari akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za UKAWA kwa ubunge wa jimbo la Kinondoni leo hii jioni.

Picha zote na -Hassan Kachloul

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mgombea wa Ukawa Maulid Mtulila azindua kampeni ya ubunge jimboni Kinondoni!
Mgombea wa Ukawa Maulid Mtulila azindua kampeni ya ubunge jimboni Kinondoni!
http://3.bp.blogspot.com/-Rtfgy6k4uZk/VfW2Cn9nqEI/AAAAAAAAGeo/B4D5DOxjDe0/s640/IMG_4560.JPG
http://3.bp.blogspot.com/-Rtfgy6k4uZk/VfW2Cn9nqEI/AAAAAAAAGeo/B4D5DOxjDe0/s72-c/IMG_4560.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-wa-ukawa-maulid-mtulila-azindua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-wa-ukawa-maulid-mtulila-azindua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago