Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS- CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOTIKISA KWENYE KAMPENI KIBAMBA DAR

 Sehemu ya Umati wa Watu   Mh Edward Lowassa  akiwasili katika mkutano uliofanyika jimboni Kibamba.   Mheshimiwa Edward...

 Sehemu ya Umati wa Watu
 Mh Edward Lowassa  akiwasili katika mkutano uliofanyika jimboni Kibamba.
 Mheshimiwa Edward Lowassa akihutubia  katika mkutano mkubwa uliofanyika Kibamba Dar es salaam.
Mh Edward Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba ambaye pia ni Naibu katibu mkuu wa Chadema Bara Mh John Mnyika katika mkutano uliofanyika jimboni Kibamba.Picha na Othman Michuzi
---
 Mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda UKAWA, Mh. Edward Lowassa, leo tena amelitikisa jiji la Dar es Salaam, hususan maeneo ya Kibamba kulikofanyika mkutano wa kihistoria wa kampeni ambapo maefu ya wananchi walifurika wengine wakikaa juu ya mapaa ya nyumba za madarasa, wengine kwenye miti, kutokana na kukosa eneo zuri la kuweza kushuhudia "live" mkutanonukiendelea. Changamoto ya maeneo ya kufanyia mikutano ya kampeni ndiyo inayoonekana kuikumba UKAWA, kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu wanaohudhuria mikutano hiyo. Pichani mfuasi wa UKAWA, akiwa amejichora rangi za bendera ya CHADEMA akiambatanisha maneno maarufu yanayotumiwa na wafuasi wa Mh. Lowassa kwa sasa, yaani "Ulipo tupo".

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS- CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOTIKISA KWENYE KAMPENI KIBAMBA DAR
MGOMBEA URAIS- CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA ALIVYOTIKISA KWENYE KAMPENI KIBAMBA DAR
http://1.bp.blogspot.com/-OG9inQ9TqgQ/VfBDwgIF8LI/AAAAAAADYJA/a6i5TY-9XUo/s640/OTH_8093.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-OG9inQ9TqgQ/VfBDwgIF8LI/AAAAAAADYJA/a6i5TY-9XUo/s72-c/OTH_8093.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-chademaukawa-edward_9.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-chademaukawa-edward_9.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago