Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania...

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,jana Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana  Septemba 19, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwanadi baadhi ya wagombea wa Udiwani wa vyama vinavyouda UKAWA, kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana  Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na mmoja wa wadau wa Mabadiliko, Prof. Azaveli Rwaitama, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana Septemba 19, 2015.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, Mh. Ezeckiel Wenje akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana Septemba 19, 2015.
Mke wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred Lwakatare, akimuombea Mumewe Kura kwa Wananchi wa Mji wa Bukoba, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimpongeza Mke wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred Lwakatare, mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Bukoba.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred Lwakatare, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana Septemba 19, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana Septemba 19, 2015.
Aliekuwa Meya Mji wa Bukoba, Anatory Amani akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera jana Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza na baadhi ya vingozi, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Bunazi, Jimbo la Nkenge, Misenyi Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Wananchi wa Jimbo la Nkenge, Misenyi Mkoani Kagera wakimshangilia Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alipowasili kwenye eneo la Mkutano.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo la Nkenye, Misenyi Mkoani Kagera jana  Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Bw. Simon Andrew (55) ambaye ni Mlemavu wa miguu, mkazi wa Kijiji cha Kilimilile, Kyaka Wilayani Misenyi, Mkoa wa Kagera jana Septemba 19, 2015.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA
MGOMBEA URAIS CHADEMA+UKAWA EDWARD LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA
http://1.bp.blogspot.com/-A8ieHaSIP9o/Vf2Fw8FzJ0I/AAAAAAAACZM/LFTrrj04WgI/s640/OTH_7295.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-A8ieHaSIP9o/Vf2Fw8FzJ0I/AAAAAAAACZM/LFTrrj04WgI/s72-c/OTH_7295.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-chademaukawa-edward_20.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-chademaukawa-edward_20.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago