Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS-CHADEMA +UKAWA EDWARD LOWASSA NA MGOMBEA MWENZA DUNI HAJI WALIPOHUDHURIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu...

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati akiwasili katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, ZANZIBAR
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Zanzibar, Salum Mwalim, wakati akiwasili katika Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar  jana  Septemba 9, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwapungia wananchi wa Zanzibar (hawapo pichani) walioshiriki Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana  Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Urais wa Ukawa wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CUF, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar leo Septemba 9, 2015.
Wakubwa wakiteta jambo.
Wimbo maalum wa Chama cha Wananchi CUF ukipigwa.
Maalim Seif akiongoza ufunguzi wa Kampeni hizo.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwasalimia wazanzibar.
COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS-CHADEMA +UKAWA EDWARD LOWASSA NA MGOMBEA MWENZA DUNI HAJI WALIPOHUDHURIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR
MGOMBEA URAIS-CHADEMA +UKAWA EDWARD LOWASSA NA MGOMBEA MWENZA DUNI HAJI WALIPOHUDHURIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR
http://4.bp.blogspot.com/-mQfMCDgzMr8/VfCHGRwJLdI/AAAAAAAABZc/ij85FjltuI0/s640/OTH_8572.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-mQfMCDgzMr8/VfCHGRwJLdI/AAAAAAAABZc/ij85FjltuI0/s72-c/OTH_8572.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-chadema-ukawa-edward.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-chadema-ukawa-edward.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago