Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS-CCM DR JOHN MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA SIKONGE,KALIUA,ULYANKULU NA URAMBO MKOANI TABORA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa ak...


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. PICHA NA MICHUZI JR-URAMBO,TABORA
  Wakazi wa mji wa Kaliua wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimkabidhi Ilani ya CCM Mgombea Ubunge wa jimbo la Kaliua kupitia chama cha CCM Prof.Juma Kapuya
  Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Urambo kupitia chama cha CCM,Mh.Magret Sitta,kulia kwake ni Mh.Samweli Sitta kwa pamoja wakimkaribisha Dkt Magufuli alipowasili kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Urambo jioni ya leo.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo jioni ya leo mkoani Tabora,kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni.
  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo jioni ya leo mkoani Tabora,kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni.
 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mjini Urambo mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo wa hadhara
Wananchi wakiwa wamekusanyika mjini Urambo kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM,Dkt Magufuli.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sikonge mapema leo mchana mjini humo,kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora,kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha CCM,Ndugu Said Nkumba abaye amerejesha kadi yake kwa Dkt Magufuli,shoto ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George John.
  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha CCM,Ndugu Said Nkumba akipeana mikono na Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George John,mbele ya Wananchi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha CCM,Ndugu Said Nkumba akipeana mikono na Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George John,mbele ya Wananchi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora.
 Wananchi wa Sikonge wakishangilia walipokuwa wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia. 
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa Sikonge,Ndugu George John  mbele ya Wananchi wa Sikonge mapema leo mchana mjini humo,kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora 
 Mgombea Urais wa CCM,Dk Magufuli ukiwasili mapema leo kwenye uwanja wa kambi ya zamani ya Wakimbizi kutoka Burundi,Ulyankulu wilayani Kaliua kwa ajili ya kuwahutubia wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi.
 Mgombea Urais wa CCM,Dk Magufuli ukiwahutubia wakazi wa Ulyankulu mapema leo kwenye uwanja wa kambi ya zamani ya Wakimbizi kutoka Burundi,katika mkutano wa Kampeni wilayani Kaliua kwa ajili ya kuwahutubia wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi.
  Mgombea Urais wa CCM,Dk Magufuli ukiwahutubia wakazi wa Ulyankulu mapema leo kwenye uwanja wa kambi ya zamani ya Wakimbizi kutoka Burundi,katika mkutano wa Kampeni wilayani Kaliua kwa ajili ya kuwahutubia wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi.
 Wakazi wa Ulyankulu wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa CCM,Dkt Magufuli mapema leo mchana.
 Wakazi wa Ulyankulu wakishangilia jambo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa CCM,Dkt Magufuli mapema leo mchana.
 Wananchi walipokuwa wameziba barabara wakitaka kumuona Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akipita kuelekea wilayani Kaliua kuwahutubia wananchi.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi waliokuwa wameziba barabara kuuzuia msafara wa mgombea huyo awasalimie.
 Mgombea Ubunge wa CCM kupitia jimbo la Kaliua,Prof.Juma Kapuya akiwahutubia wananchi katika uwanja wa Kolimba mjini Kaliuna mapema leo.
 Wakazi wa mji wa Kaliua wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia.

 Wananchi wa Urambo wakimsubiri kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS-CCM DR JOHN MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA SIKONGE,KALIUA,ULYANKULU NA URAMBO MKOANI TABORA
MGOMBEA URAIS-CCM DR JOHN MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA SIKONGE,KALIUA,ULYANKULU NA URAMBO MKOANI TABORA
http://1.bp.blogspot.com/-whkRJaPECDg/Vfhq3mZ_yHI/AAAAAAAH5H4/1rkTFPoYIGs/s640/_MG_6799.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-whkRJaPECDg/Vfhq3mZ_yHI/AAAAAAAH5H4/1rkTFPoYIGs/s72-c/_MG_6799.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-ccm-dr-john-magufuli_16.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-ccm-dr-john-magufuli_16.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago