Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (katikati) akishangiliwa na wananchi wenye ujumbe wa kumuunga mkono  huku a...


 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (katikati) akishangiliwa na wananchi wenye ujumbe wa kumuunga mkono  huku akiwa na mfano wa msumeno wa kuwakatia wezi na mafisadi  akishinda urais wakati wa mkutano wa kampeni  mjini Igunga , Tabora jana. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Barafu mjini Igunga mkoani Tabora. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mtoto akiwa amebebwa na babake ili aweze kumuona Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM katika Kijiji cha eneo la Njia Panda Wilayani Maswa leo
 Mama akishangilia kwa furaha huku akiwa amembeba mtoto wakati msafara wa Dk Magufuli ulipowasili eneo la Njia Panda wilayani Maswa leo
 Mgombea ubunge Jimbo la Maswa kupitia CCM,Stanslaus Nyongo akijinadi kwa wananchi kwenye Uwanja wa Mpira mjini Maswa ambapo pia Dkj Magufuli alifanya kampeni.
 Wananchi wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa mkutano wa kampeni za CCM MJINI maswa
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Maswa ili achaguliwe kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu
 Furaha ya mama huyu ilionekana dhahhiri baada ya kumuona Dk Magufuli katika Kijiji cha Malampaka wilayani Maswa, mkoa wa Simiyu leo
 Dk Magufuli akizungumza na wananchi wakati akijinadi  mjini Malampaka, Maswa, ambapo alisema akishinda urais ataanzisha viwanda vingi ili kuongeza thamani ya mazao nchini
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu, Suleiman Nchambi msafara wake ulipozuiwa na wananchi katika Mji wa Mwigumbi wilayani Kishapu Mwanza
 Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwigumbi  Kishapu mkoani Shinyanga
 Dk Magufuli akihutubia wananchi katika Mji wa Maganzo mkoani Shinyanga, ambapo aliomba kumpigia kura ali ashinde awasaidie kuboresha sekta ya uchimbaji madini kwa serikali kuwakopesha wachimbaji wadogo wadogo  kwa kuwapatia mitaji  na vifaa
 Mfanyabiashara akiwa amebandika mabango ya kampeni za Dk Magufuli na mgombea ubunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Nchambi
 Kikundi cha vichekesho cha Futuhi kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kishapu leo
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi na kuelezea jinsi serikali ya CCM itakavyoboresha sekta mbalimbali nchini
 Wasanii wakimsikiliza Dk Magufuli akijinadi mjini Kishapu
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika  Kijiji cha Igurubi wilayani Magu leo
 Sehemu ya umati wa wanaachi katika mkkutano wa kampeni za Dk Magufuli mjini Igunga
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdalah Bulembo akielezea wasifu mzuri wa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli na kuwaomba wananchi kumpgia kura nyingi ili ashinde urais
 Dk Magufuli nakiwa na mfano wa msumeno aliopewa na wananchi ili utumike kuwakatakata mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM wilayani Igunga leo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI
MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI
http://1.bp.blogspot.com/-HcmqXGkaJEg/VfWXxOSXnaI/AAAAAAAA5oo/bGZ7powN91Q/s640/01.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-HcmqXGkaJEg/VfWXxOSXnaI/AAAAAAAA5oo/bGZ7powN91Q/s72-c/01.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-ccm-dk-john-magufuli_73.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-ccm-dk-john-magufuli_73.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago