Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi  kwa wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji ...


 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi  kwa wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa wa Kagera leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wakazi wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakati wa mkutano wa kampeni
 Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli wilayani Kakonko, Kigoma
 Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea ubunge jimbo la Kakonko, Christopher Chizza wakati wa mkutano wa kampeni wilayani Kakonko, Kigoma.
 Vijana wakisikiliza kwa makini wakati huku wakiwa juu ya baiskeli wakati Dk Magufuli akijinadi  wilayani Kakonko
 Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Cornel Pastory alipozuru kaburi la mwalimu huyo wilayani Biaharamulo
 Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastrory  alipkwenda kuzuru kaburi
 Mwalimu Cornel Pastory enzi za uhai wake
 Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastory
 Dk Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
 Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli wakati wa mkutano wa  kampeni mjini Biharamulo leo
 Mgombea ubunge Jimbo la Muleba Kusini kupitia CCM, Profesa Anna Tibaijuka (kulia) akiwa miongoni mwa walioshiriki katika mkutano wa kampeni za CCM mjini Biharamulo
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akifanya kampeni mjini Biharamulo
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini ili wampigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 Biharamulo
 Ni furaha iliyoje kwa wakazi wa  Bi9aharamulo baada ya kumuona Dk Magufuli wakati wa kampeni mjini humo leo
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Biharamulo, Oscar Mkassawakati wa kampeni hizo leo

 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Chato,Meedard Karemani katika Kata ya Igalula  wilayani Chato ambaye ndiye mrithi wake katika nafasi hiyo
 Ulinzi ukiwa umeimarishwa nyumbani kwa Dk Magufuli, mjini Chato

 Sura zikionesha matarajio makubwa  baada ya kumuona Dk Magufuli alipowasili katika Kata ya Igalula alipozungumza nao na kupata wasaa kuwaaga wananchi wa Jimbo la Chato baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kugombea urais wa T anzania.

 Sehemu ya wananchi wa Chato wakimlaki Dk Magufuli
 Ulinzi ukiwa umeimarishwa baada ya Dk Magufuli kuwasili nyumbani kwake Chato baada ya kufanya kampeni katika Wilaya ya Biaharamulo, Kagera.
 Dk Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa
 Dk Magufuli akisalimiana na ndugu zake akiwemo mamake mzazi (katikati) alipowasili nyumbani kwao Chato baada ya safari ndefu ya kufanya kampeni katika mikoa 13 nchini.
Dk Magufuli akiendelea kusalimiana na ndugu 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO
MGOMBEA URAIS-CCM DK JOHN MAGUFULI AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO
http://2.bp.blogspot.com/-GhO4fxB3ZNc/VfxD6qJac9I/AAAAAAAA57c/0QKlG_8an4w/s640/01.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-GhO4fxB3ZNc/VfxD6qJac9I/AAAAAAAA57c/0QKlG_8an4w/s72-c/01.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-ccm-dk-john-magufuli_20.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-urais-ccm-dk-john-magufuli_20.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago