Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA LUSHOTO NDUGU MOHAMED MTOI KANYAWANA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

  Picha ya kampeni ya Mohamed Mtoi wakati anagombea Jimbo la Lushoto Tanga   Pichani Gari ambayo ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana amepat...

 Picha ya kampeni ya Mohamed Mtoi wakati anagombea Jimbo la Lushoto Tanga
 Pichani Gari ambayo ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana amepatia ajali akitokea kwenye kampeni
 Kamanda Moohamedi Mtoi  enzi za uhai wake
 Kamanda Mohamed Mtoi akiwa na makamanda wenzake kwenye mkutano mkuu wa Chadema
 Kamanda Mohamed Mtoi akiongozana na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe kwenye harakati za kujenga Chama.
 Mohamed Mtoi akiwa na familia yake

 Mohamed Mtoi akiwa kiranja shule ya msingi 1990
 Mohamed Mtoi akiwa shule ya msingi 1993
 Kamanda Mohamed Mtoi akiwa na mtoto wake
Kamanda Moohamedi Mtoi akiwa ziarani barani Ulaya
Kwa kweli tumempoteza kamanda wa Ukweli kabisa aliyekuwa na mapenzi mema na chama. Mungu akupumzishe mahali pema peponi
-----
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA KAMANDA MOHAMED MTOI KANYAWANA


Nachukua fursa hii kwa masikitiko makubwa sana kutoa Salamu za Rambirambi kwa Familia na Uongozi wa Juu wa Chadema Makao makuu kwa msiba wa Kamanda mwenzetu, Mpiganaji wa kweli, Kijana mwenzetu Ndugu Mohamed Mtoi Kanyawana aliyefariki kwa ajali ya Gari iliyotokea huko Tanga. Kwa kweli bado tulikuwa tunamhitaji sana kamanda mwenzetu lakini kifo ni mpango wa Mungu ametangulia mbele sisi tupo nyuma yake. Tunajua mchango wake wa kujenga Chama na tunauthamini sana. Mohamed Mtoi alikuwa ni tegemeo letu kwenye nafasi ya Ubunge Jimbo la Lushoto pia kama mratibu wa Kanda ya Kaskazini, hivyo tumepata pigo kubwa sana hasa katika kipindi hiki kigumu kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu. Tulikuwa tunashirikiana sana na Ndugu Mohamed Mtoi kwenye kusambaza Taarifa Mbalimbali za Chama, mchango wake ulikuwa mkubwa sana. Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi.

Wenu Chadema

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA LUSHOTO NDUGU MOHAMED MTOI KANYAWANA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA LUSHOTO NDUGU MOHAMED MTOI KANYAWANA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
http://4.bp.blogspot.com/-mklnMNot7No/VfWBfZPKfqI/AAAAAAADYX0/udJcI0156dU/s1600/FB_IMG_1441873402402.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-mklnMNot7No/VfWBfZPKfqI/AAAAAAADYX0/udJcI0156dU/s72-c/FB_IMG_1441873402402.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-ubunge-wa-chadema-lushoto-ndugu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-ubunge-wa-chadema-lushoto-ndugu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago