Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA UBUNGE TEMEKE (CCM) MTEMVU AHAIDI NEEMA AKICHAGULIWA TENA

 Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho  Dar es Salaam jana...


 Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho  Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
  Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa tatu kulia) na Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Shina la wakereketwa no, 1. Tawi la Maghorofani na wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa Jimbo hilo Amhad Mnamala.
   Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa kwanza kulia) na Mdombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakipandisha Bendera ya Chama hicho kuashiria uzinduzi wa Shina la wakereketwa no, 1. Tawi la Maghorofani
  Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akipokea Risala kutoka kwa Katibu wa Shina hilo Zuzana Manamba
 Shamra shamra za uzinduzi wa Kampeni kata ya 14 viwanja vya Shule ya Msingi Madenge TemekeCOMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA UBUNGE TEMEKE (CCM) MTEMVU AHAIDI NEEMA AKICHAGULIWA TENA
MGOMBEA UBUNGE TEMEKE (CCM) MTEMVU AHAIDI NEEMA AKICHAGULIWA TENA
http://4.bp.blogspot.com/--f9Pp-h9V_o/Vgkc5nYvfxI/AAAAAAAASXw/xWGuvE5WYDA/s640/1.JPG
http://4.bp.blogspot.com/--f9Pp-h9V_o/Vgkc5nYvfxI/AAAAAAAASXw/xWGuvE5WYDA/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-ubunge-temeke-ccm-mtemvu-ahaidi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-ubunge-temeke-ccm-mtemvu-ahaidi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago