Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA MWENZA-UKAWA KUPITIA CHADEMA JUMA HAJI DUNI AFANYA KAMPENI YA NGUVU MKOANI LINDI

  Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampen...

 
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea wa ubunge  jimbo la Lindi mjini ikupitia CUF, Salum Barwani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi 
 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),  kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi
 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),  kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji (kulia), akimtambulisha mgombea wa ubunge wa jimbo la Liwale kupitia CUF, Zubery Kuchauka wakati wa mkutano wa kampeni ulifanyika kwenye uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
 Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
 Wafusi wa Ukawa wakiwa katika mkutano wa kampeni zamgombea mwenza wa urais wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji uliofanyika katika uwanja wa Maulidi uliopo wilayani Nachingwea.
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa bibi, Razina Mwandachi baada ya kujiunga na Ukawa na kukabidhiwa kadi ya CUF wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpilipili.
Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wafuasi wa Ukawa mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
 Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji (katikati) akiwaaga wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),  kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA MWENZA-UKAWA KUPITIA CHADEMA JUMA HAJI DUNI AFANYA KAMPENI YA NGUVU MKOANI LINDI
MGOMBEA MWENZA-UKAWA KUPITIA CHADEMA JUMA HAJI DUNI AFANYA KAMPENI YA NGUVU MKOANI LINDI
http://2.bp.blogspot.com/-gycew-oqRp4/VeboC38M_bI/AAAAAAADXp8/P9QCf5c4GV4/s640/Mtoto.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-gycew-oqRp4/VeboC38M_bI/AAAAAAADXp8/P9QCf5c4GV4/s72-c/Mtoto.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ukawa-kupitia-chadema.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ukawa-kupitia-chadema.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago