Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA MWENZA UKAWA DUNI HAJI APIGA KAMPENI KISARAWE MKOANI PWANI NA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE UKAWA RASHID MWISHEHE ''KINGWENDU"

    Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo.     Um...


  Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo.
  Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo.i uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi
Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
  Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” wakati wa mkutano wa kampenzi uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
  Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni. 
 Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa wilayaya Bagamoyo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Majengo.
  Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Kisarawe katika mkutano wa kampeni.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kulia) akiteta jambo na mgombea wa jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”.Picha na Francis Dande

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA MWENZA UKAWA DUNI HAJI APIGA KAMPENI KISARAWE MKOANI PWANI NA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE UKAWA RASHID MWISHEHE ''KINGWENDU"
MGOMBEA MWENZA UKAWA DUNI HAJI APIGA KAMPENI KISARAWE MKOANI PWANI NA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE UKAWA RASHID MWISHEHE ''KINGWENDU"
http://1.bp.blogspot.com/-Hldm0_mcznw/VeqqzeHhDoI/AAAAAAADX7w/vi4g0wi9vU8/s640/umati%2B1.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-Hldm0_mcznw/VeqqzeHhDoI/AAAAAAADX7w/vi4g0wi9vU8/s72-c/umati%2B1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ukawa-duni-haji-apiga.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ukawa-duni-haji-apiga.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago