Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN,KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI -CCM NAPE NNAUYE NA MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE WAITEKA LINDI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge wa CUF, anayema...


 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge wa CUF, anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, Salum Baruan, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo.
 Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan leo katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Katibu wa NEC, Itkadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akimkaribisha jukwaani, Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Mbunge wa CUF anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, Salum Baruani, wakati alipoamua  kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Kulia ni Mama Salma Kikwete.
 Shamrashamra zikirindima wakati Nape akimtangaza Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Mbunge waCUF anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, Salum Baruani baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo.
 Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni za CCM aliofanya katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo
Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa NEC, Lindi Mjini Mama Salma Kikwete wakiwasalimia wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini, aliyekuwa Mpigadebe Mkuu wa CUF, Lindi Mjini, Mohammed Omari baada ya kutangaza kuhamia CCM leo katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Mke wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Wananchi wakiwa na bango la kufagilia uamuzi wa CCM kumpatia nafasi mwanamke Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi.
 Mgombea Mwwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi, Ali Mtopa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Mgombea Mwwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Mtopa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Wasanii wa Bongo Movie kina Wema Sepetu wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi leo
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili meza kuu wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akiwasili meza Kuu wakati wa mkuano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, ukipokewa na waendesha bodaboda ulipowasili Lindi Mjini leo ukitokea jimbo la Mchinga mkoani Lindi
 Wananchi wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza w Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Mchinga mkoani Lindi leo
Mwananchi akiwa na bango la Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa Urais Mama samia Suluhu Hassan katika jimbo la Mchinga mkoani Lindi leo
 Mbunge wa zamani wa Mchinga,Muhdhihir Mudhihir akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Mtopa katika mkuano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishauriana jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Mchinga, Said Mtanda, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
 Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mchinga, Mudhihir Mudhihir akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Lindi
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mchinga mkoani Lindi
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Mchinga Said Mtanda, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Lindi. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN,KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI -CCM NAPE NNAUYE NA MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE WAITEKA LINDI
MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN,KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI -CCM NAPE NNAUYE NA MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE WAITEKA LINDI
http://4.bp.blogspot.com/-NsQ_l5mt9o0/VfWQPvmyoQI/AAAAAAAAzAw/AWfaTLY_G48/s640/1.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-NsQ_l5mt9o0/VfWQPvmyoQI/AAAAAAAAzAw/AWfaTLY_G48/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ccm-mama-samia-suluhu_13.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ccm-mama-samia-suluhu_13.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago