Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA SUKUHU ACHANJA MBUNGA CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  ...


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Shamrashamra za ngoma zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Shamrashamra za mapokezi zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mmoja wa wajumbewa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Ummy Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Kina Mama wa Kigogo wakiwa wamejipamba sura zao kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi meza kuupamoja na baadhi ya viongozi baada ya kuwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Shamrashamra za ngoma zikiendelea baada ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipew zawadi ya mbuzi alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 
 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowahutubia kwenye mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Vijana wakiwa wamelazimika kupanda mti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kwenda Kingwingwili Kongwa wasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
 Vijana wakiwa wamelazimika kupanda miti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika  Kingwingiwili, jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma leo.
 Mbunge wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai akimwaga sera, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika katika eneo la  Kigwingwili leo
 Mwanachama wa Chadema akiwa katika sare ya Chama hicho kwenye mkutano wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika katika eneo la  Kigwingwili leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la  Kigwingwili leo
  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazae jimbo la Mpwpwa mkoani Dodoma leo.
 Mjumbe wa NEC, Evodi Mmanda akihutubia mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika eneo la  Mazae jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo
Mmoa wa wajumbe wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Angela Kairuki, akihutubia mkutano wa kampeni za mgombea huyo, Mama Samia, eneo la Mazae katika jimbo hilo leo.
 Aliyekuwa mgombea kutafuta ridhaa ya kuwania Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Nkenge Asupta Mshama, akitoa vidonge vyake wakati wa mkutano huo
 Wananchi wakishangilia Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alioohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mazae, jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo
 Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama saba wa Chadema waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwapokea baadhi ya wananchama hao saba wa Chadema waliomkabidhi kadi zao baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO --

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA SUKUHU ACHANJA MBUNGA CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA
MGOMBEA MWENZA-CCM MAMA SAMIA SUKUHU ACHANJA MBUNGA CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA
http://4.bp.blogspot.com/-kGC8tzO0ZIM/VeXce7IDW_I/AAAAAAAAyV0/ZlX1-vT-CEs/s640/DSC_0588.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-kGC8tzO0ZIM/VeXce7IDW_I/AAAAAAAAyV0/ZlX1-vT-CEs/s72-c/DSC_0588.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ccm-mama-samia-sukuhu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/09/mgombea-mwenza-ccm-mama-samia-sukuhu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago